Staa wa Bongo movie na mjasiliamali maarufu, Jaqueline Wolper ameendelea kuonesha mapenzi yake kwa msanii nyota kutoka katika kundi la muziki maarufu nchini la WCB linalomilikiwa na diamond platnumz , Harmonize.
Pamoja na wasanii hao kuachana, wameaamua kuweka kando tofauti zao za kimapenzi na kuamua kusapotiana katika kazi zao wanazozifanya. wawili hao wanatarajia kufanya interview kwa mara ya kwanza pamoja kwenye kipindi cha XXL,Clouds FM leo saa saba mchana. Kupitia ukurasa wake wa instagramu, Wolper aliandika post ambayo imewafurahisha mashabiki wa harmonize na kuhisi huenda mastaa hawa wakarudiana
0 comments: